Diamond Platnumz aingia studi za Wasafi Records kufanya ngoma na Mrisho Mpoto!






Kwamara nyingine msanii wa nyimbo za Bongo Fleva hapa nchini Nasib Abdul akaDiamond Platnumz amethubutu kuingia kwenye studio za Wasafi Records kufanya ngoma ya pamoja na msanii Mrisho Mpoto ambapo hapo awali walifanya ngoma ya pamoja kuhusiana na mabomu ya Gongo la Mboto yalio athiri wakazi wa eneo hilo jijini Dar es Salaam-Tanzania.

Kwenye accout yake ya Instagram Diamond ameandika "Wasafi Records right now na @mrishompoto ... i wish you can get jus a second to hear this...."
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment