Ladies: Zawadi za Christmas alizopewa Kim Kardashian na Kanye West zitakufanya umchukie mpenzi wako



Kanye West anadaiwa kumnunulia mke wake, Kim Kardashian West, zawadi 150 za Christmas, Ijumaa iliyopita.



Mzigo huo wa zawadi ulioneshwa kwenye website ya Kim Kardashian.

Miongoni mwa zawadi hizo ni pamoja na nguo zenye thamani kubwa. Kwa mujibu wa Kim, Kanye alimtuma msaidizi wake Italia kufanya shopping ya nguo hizo na alikuwa akimpa maelekezo kwa Skype.

Cha kufurahisha zaidi wakati Kim anafungua zawadi hizi, Kanye alikuwa akiicheza albamu yake mpya, SWISH.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment