Nicki Minaj afanya maandalizi ya ndoa yake




MSANII wa hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, ameweka wazi sehemu ambayo atafunga ndoa na mpenzi wake Meek Mill, mwaka 2016.

Wasanii hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja sasa, hivyo wanatarajia kufunga ndoa mwakani huku Minaj tayari akiweka wazi sehemu sahihi ambayo wataifungia ndoa hiyo.



“Mwaka 2016 ninatarajia kufunga ndoa na Meek Mill, ninaona sehemu sahihi ya kufungia ndoa hiyo ni kanisani au ufukweni.

“Sehemu zote mbili ziko tayari lakini muda ukifika itaeleweka wapi ni sehemu sahihi ya kufungia ndoa yetu,” alisema Minaj.

Wawili hao walivishana pete Aprili mwaka huu na kuweka wazi kwamba 2016 watakamilisha kila kitu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment