JULY 22, 2015;
Cambiasso akataa kurejea Leicester City

Esteban Cambiasso

Filipe Luis
PREVIOUS STORIES JULY 21, 2015;
Kitimtim michuano ya Klabu Bingwa Ulaya

Louis van Gaal confirms Manchester United want to sign new striker
Newcastle United sign Anderlecht striker Aleksandar Mitrovic

Sunday Oliseh ndiye kocha mpya wa Nigeria:

Sunday Oliseh
Nigeria imemchagua aliyekuwa mchezaji wa Nigeria Sunday Oliseh kocha mpya wa Nigeria.
Real Madrid ndio kilabu tajiri duniani

Expert view – PSG will NOT let Edinson Cavani join Manchester United but Angel Di Maria COULD move to Paris:


Manchester United have entered the race to land Fiorentina defender Stefan Savic but face strong competition from Atletico Madrid for his signature.

Michuano ya Kombe la Kagame
Ratiba ya mechi ya mechi za ufunguzi katika michuano ya Kombe la Kagame CECAFA imekwisha kufahamika ambapo jumamosi hii APR ya Rwanda itakwana na Al Shandy ya Sudan majira ya saa nane mchana kwa saa za afrika mashariki.
Alexis Sanchez anahitaji kupumnzika

Alexis Sanchez kukosa mechi kikosi cha Arsenal
Alexis Sanchez anaweza kukosa mechi ya kwanza ya msimu katika kikosi cha Arsenal.
PREVIOUS STORIES JULY 8, 2015;
Balotelli hajarejea kambini-Liverpool:

Balotelli hajarejea kambini-Liverpool
Oliseh kuwa kocha wa Nigeria ?

Oliseh anafanya mazungumzo na shirikisho la soka la Nigeria NFF kwa nia ya kutangazwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria.

PREVIOUS STORIES JULY 7, 2015;
Sterling:Mchezaji anayethaminiwa zaidi Ulaya:

Nyota wa Liverpool Raheem Sterling ndiye mchezaji chipukizi anayethaminiwa zaidi barani Ulaya kwa mujibu wa utafiti.
Reports-bayern-munich-offer-star-duo-manchester-united-flop-angel-di-maria ?


PREVIOUS STORIES JULY 6, 2015;
Serena na Venus kuchuana-Wimbledon.

Mkwasa:Tumecheza vizuri

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake:

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2. Katika fainali hii makubwa yaliweza jitokeza katika uwanja wa Vancouver mbele ya hamsini elfu mashabiki baada ya Wamarekani kufunga mabao manne kwa mfululizo katika dakika kumi na tano za mwanzo wa mchezo. Carli Lloyd alifanya hila mpaka muda mfupi baada ya mechi akapatiwa taji lai mchezaji bora wa mashindano. Hata hii ni mara ya tatu katika michuano ya Kombe la dunia ya timu ya Marekani ya wanawake kutokea hila hizi.Maafisa kutoka FIFA wameshutumu uongozi wa soka duniani kwa kupingwa na umati wa watu.
PREVIOUS STORIES JULY 4, 2015;
STARS LEO NI LEO UGANDA:

Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa mazoezini Kampala, Uganda kujiandaa na mechi kati yao na The Cranes itakayofanyika katika uwanja wa Nakivubo.
PREVIOUS STORIES JULY 3,2015
Fenerbahce kumsajili Nani wa Man United:

Barcelona kumsajili Pogba:

Malinzi awa mbogo kashfa za Fifa:

Schmeichel amwomba De Gea abaki Old Trafford:

DEMBA BA AJIUNGA NA SHANGHAI SHENHUA:

Demba Ba
STARS YAWAFATA THE CRANES:

Cambiasso akataa kurejea Leicester City
Esteban Cambiasso
Kiungo wa Argentina Esteba Cambiasso amekataa mkataba wa kubaki timu ya Leicester City ya England.
Kiungo huyo mwenye miaka 34 alijiunga na Foxes kwa mkataba mwaka mmoja uliomalizika mwezi uliopita.
Kocha mpya Claudio Ranieri amesema alizungumza na Cambisso kuhusu mkataba mpya na alijaribu kushawishi " Rudi nyumbani".
Hata hivyo mchezaji huyo wa zamani wa Inter Milan na Real Madrid alisema katika taarifa yake kwamba " Nimeamua kutosaini mpya mkataba na Leicester City.
Fillipe Luis kuondoka Chelsea
Filipe Luis
Mlizi wa kushoto wa Chelsea Filipe Luis anakaribia kuihama klabu hiyo baada ya kuichezea kwa mwaka mmoja, hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho.
Mchezaji huyo raia wa Brazil amechezea mara 26 tangu aliposajiliwa na Chelsea akitokea Atletico Madrid kwa kitita cha paundi milioni 15.8 wakati wa msimu wa joto. Hata vilabu hivyo viwili vimekubaliana mchezaji huyo arejee kwenye klabu yake ya zamani.
Mourinho amesema" Kwa wakati huu tunahitaji beki wa kushoto kwa sababu nafikiri tutamuuza Fillipe Luis leo au kesho.
Chelsea inadaiwa kuwa ina mpango wa kumnunua beki wa kushoto kutoka Augsburg, Abdul Baba Rahman.
PREVIOUS STORIES JULY 21, 2015;
Kitimtim michuano ya Klabu Bingwa Ulaya
Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya inaendelea tena hii leo kwa timu zile zinacheza round ya kwanza ambapo Dila Gori ya Geogia itakuwa na kibarua kigumu itakapoumana vikali na Partizan Belgrade ya Serbia.
Huku FC Pyunik ya Armenia ikikutana uso kwa uso na Molde ya Norway.
Milsami ya Boldova itapimana nguvu na Ludo Bulgaria.
Mechi nyingine za Klabu Bingwa barani Ulaya hapa chini
Dila Gori v Partizan Belgrade 13:30
FC Pyunik v Molde 15:00
Milsami Orhei v Ludo Razgd 16:00
HJK Helsinki v FK Ventspils 17:00
Maccabi Tel Aviv v Hibernians FC 18:30
Lincoln Red Imps v FC Midtjylland 19:00
Vardar v Apoel Nic 19:00
Zalgiris v Malmö FF 19:10
Crusaders FC v Skenderbeu Korce 19:45
Louis van Gaal confirms Manchester United want to sign new striker
Manchester United manager Louis van Gaal has confirmed the club are in the process of recruiting a new striker.
Senior sources at the Red Devils were insistent last week the Premier League side were not after a new front man, but after United's 1-0 win over Club America at the weekend Van Gaal hinted a "surprise" signing might be in store.
And on the eve of United's second tour match in California against the San Jose Earthquakes, the United boss again dropped a cryptic clue which suggested a forward could be coming to Old Trafford.
"He is in the process," Van Gaal said bluntly when asked about his "surprise" signing.
When asked whether United were close to signing the striker in question, Van Gaal said: "No. It is not a striker that the media has written, but you have to wait and see.
"The transfer period is open until September 1. You have to wait."
United have been linked with a number of forwards in the last few weeks, including Paris St Germain's Edinson Cavani, Tottenham's Harry Kane and Robert Lewandowski from Bayern Munich.
A German newspaper claimed United had bid £70million for Lewandowski's team-mate Thomas Muller on Monday, but sources at Old Trafford denied an offer had been tabled.
Newcastle United have completed the signing of Anderlecht striker Aleksandar Mitrovic, subject to the player receiving the appropriate visa.
The 20-year-old Serbian international arrives from the Beligan club and has agreed a five-year deal at St. James' Park.
"I am so happy to have signed for Newcastle," he said, on his arrival on Tyneside.
"I visited the stadium and it is amazing. I have played in a lot of impressive stadiums in my career but St. James' Park is so big, I can't wait to play my first game here.
"I know how passionate the fans are. This is a club with a very big history and the fans are a big part of that. There will be pressure here, for sure, but I like pressure.
"I also know about the famous players who have played for Newcastle United, like Alan Shearer, who is a hero of mine. I hope I can play like him for this club. It will be an honour."
Newcastle United head coach Steve McClaren added: "This is a fantastic signing for us. We have fought off a lot of competition to secure a top young talent in Europe.
"Aleksandar is someone who can develop with the team and someone who will help us to get to where we want to go.
"As a board we have worked hard to make it happen. It is another demonstration that we are wanting to push on."
PREVIOUS STORIES JULY 15, 2015;Sunday Oliseh ndiye kocha mpya wa Nigeria:

Sunday Oliseh
Nigeria imemchagua aliyekuwa mchezaji wa Nigeria Sunday Oliseh kocha mpya wa Nigeria.
Oliseh mwenye umri wa miaka 40 ameweka kandarasi ya miaka mitatu na anamrithi Stephen Keshi ambaye alifutwa kazi mwanzo wa mwezi Julai.
''Tuna vipawa vya kubadilisha hatma yetu ili kurudisha heshima tuliokuwa nayo na kuhakikisha kuwa tunapata matokeo mazuri'',alisema Oliseh.
''Hii ni kazi kubwa barani Afrika,tukiungwa mkono na kila mtu tunaweza kuisadia Super Eagles kupaa tena''.
Oliseh aliyeichezea Nigeria mara 63 na kuisadia kushinda kombe la Afrika mwaka 1994 pamoja na dhahabu katika mashindano ya Olimpiki mwaka 1996 anachukua wadhfa huo wakati ambapo Nigeria wanapambana kuimarika nje na hata ndani ya uwanja.
Real Madrid ndio kilabu tajiri duniani

Real Madrid ndio timu tajiri zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo kulingana na jarida la biashara la Forbes.
Kilabu hiyo ya Uhispania ina thamani ya pauni bilioni 2.08 huku timu ya soka ya Marekani Dallas Cowboys na ile ya New York Yankees zikichukua nafasi ya pili kwa pamoja na thamani ya pauni bilioni 2.04.
Mahasimu wakubwa wa Real Madrid Barcelona wanachukua nafasi ya nne wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.02.
Kilabu ya Manchester United iko katika nafasi ya tano kutoka nafasi ya tatu mwaka uliopita.
Nafasi nyengine zilizosalia katika kumi bora zinachukuliwa na timu za michezo nchini Marekani.
Timu nyengine za ligi ya Uingereza ni Mancity iliopo katika nafasi ya 29 ikiwa na thamani ya pauni milioni 890,Chelsea ikiwa na thamani ya pauni milioni 877 inachukua nafasi ya 31 na Arsenal yenye thamani ya pauni milioni 839 ikiwa katika nafasi ya 36.
Expert view – PSG will NOT let Edinson Cavani join Manchester United but Angel Di Maria COULD move to Paris:

Julien Laurens, talkSPORT's expert on all things French football, joined The Sports Bar on Tuesday.
He discussed Manchester United’s reported interest in PSG striker Edinson Cavani, although claimed the Ligue 1 club will not sell the Uruguay international.
But Laurens did suggest Angel Di Maria could finally move to Paris having had his heart set on a move to the French capital last summer.
"PSG will not sell Cavani,” he told The Sports Bar.
"The idea is to get Di Maria from United, he wants to leave, he wants to go to Paris. He wanted to leave last summer – everything was done between him and PSG, but the problem was Financial Fair Play at the time which meant PSG couldn’t afford him, hence he joined United.
"He still wants to come to Paris and now they don’t have FFP sanctions against them, they’re free to sign him and pay the wages he wants.
"I can see him going from United to PSG but I definitely can’t see Cavani going the other way – not at any price.
"Simply because PSG see Cavani as the future when Zlatan Ibrahimovic retires, which will be next summer, and they paid a lot of money to prepare him as their next top striker – he was actually PSG's top-scoring striker last season and scored more than Ibra, so they rely on him a lot."
Juventus ready to offer Juan Cuadrado early exit from Chelsea:
The winger failed to make an impression at Stamford Bridge during the second half of last season following his £21m move from Fiorentina in January.
Chelsea are keen to offload the Colombian to make way for another signing and, according to SportItalia, Juve have been keeping a close eye on Cuadrado's situation this summer.
The Old Lady are searching for an attacking midfielder and see Cuadrado as an ideal fit for their squad.
The 27-year-old still has four years left on his contract in west London but is keen to make a swift return to Serie A.
Manchester United enter race to land former Manchester City man:

Manchester United have entered the race to land Fiorentina defender Stefan Savic but face strong competition from Atletico Madrid for his signature.
The Red Devils are believed to have entered talks with the in-demand centre-back and a bid of around £11m could force La Viola to sell one of their key stars.
Savic, 24, will be well known to fans of the Premier League - the Montenegrin made 11 appearances for United's arch rivals Manchester City during the club's 2011-12 title-winning campaign.
And now, according to Spanish newspaper AS, it nows seem the powerful defender could move back to England again if the Louis van Gaal's men do not sign top targets Sergio Ramos and Nicolas Otamendi.
Savic, who is contracted until 2019, moved to Fiorentina in 2012 as part of the deal which took Matija Nastasic to the Etihad and has since become an important player for the Florence-based club.
It has been suggested United could weigh in with a bigger offer for the defender but Atletico want to conclude a deal quickly and find an immediate replacement for Toby Alderweireld - who joined Tottenham last week.
Timu 6 kukata utepe,CECAFA

Michuano ya Kombe la Kagame
Ratiba ya mechi ya mechi za ufunguzi katika michuano ya Kombe la Kagame CECAFA imekwisha kufahamika ambapo jumamosi hii APR ya Rwanda itakwana na Al Shandy ya Sudan majira ya saa nane mchana kwa saa za afrika mashariki.
Mechi ya pili itakuwa kati yaYanga ya Tanzania na Gor Mahia ya Kenya mchezo utakao chezwa saa saa 10 za jioni kwa saa za Afrika mashariki. Muda huo huo KMKM kutoka visiwa vya Karafuu Zanzibar itakuwa na mtihani mkali pia dhidi ya Telecom ya Djibout.
Katika historia ya michuano hiyo,Simba ya Tanzania ndiyo inaongoza kwa kutwaa ubingwa mara nyingi,kwani ni mara sita hadi sasa ikifuatiwa na Yanga huku Gr Mahia ikiwa imetwaa mara tano na APR ya Rwanda mara tatu.
Alexis Sanchez anahitaji kupumnzika

Alexis Sanchez kukosa mechi kikosi cha Arsenal
Alexis Sanchez anaweza kukosa mechi ya kwanza ya msimu katika kikosi cha Arsenal.
Kocha Arsene Wenger anasema Mshambuliaji huyo anaweza kuukosa mchezo huo mara baada ya kuwa ameisaidia timu yake ya Chile kutwaa taji la Copa America kwa kuwa atajiunga nao tarehe 3 mwezi ujao na inaweza kuchukua wiki tatu mchezaji kuwa fit tena. Sanchez ataukosa mchezo wa ngao ya jamii wa tarehe mbili dhidi ya Chelsea.
PREVIOUS STORIES JULY 8, 2015;
Wimbledon:Serena na Sharapova nusu fainali:

Wimbledon:Serena na Sharapova kuchuana katika nusu fainali Alhamisi
Mchezaji tenis anayepigiwa upatu kushinda taji la mwaka huu la Wimbledon, Serena Williams alisajili ushindi mkubwa dhidi ya Victoria Azarenka.
Williams ambaye anapigiwa upatu kutwaa mataji yote matatu makuu ya tenis ya wanawake ama ''Grand Slam'' alimshinda mpinzani wake kwa seti tatu kwa nunge.
Muamerika huyo mwenye umri wa miaka 33, alisajili ushindi wa alama 3-6, 6-2 na kisha 6-3 mbele ya mashabiki 15,000 katika uwanja wa katikati wa Wimbledon.
Iwapo atashinda taji la wanawake , Serena huenda akatawazwa kuwa bingwa wa mataji yote manne makuu ya tenisi ya wanawake.
Kufuatia ushindi huo Serena sasa ameshinda mechi 26 mtawalia tangu mwaka wa 2014.
Williams sasa ameratibiwa kuchuana na Mrusii Maria Sharapova anayeorodheshwa wa nne bora katika nusu fainali ya mashindano hayo hapo kesho.
Iwapo atashinda taji la wanawake , Serena huenda akatawazwa kuwa bingwa wa mataji yote manne makuu ya tenisi ya wanawake.
Hii itakuwa mara ya kwanza tangu mwaka 1988 ,Steffi Graf aliposhinda mataji yote manne ya wanawake ya tenisi katika msimu mmoja.
Wimbledon:Serena na Sharapova kuchuana katika nusu fainali Alhamisi
Williams na Sharapova watakuwa wakichuana kwa mara ya 20.
Serena ameshinda mechi 16 kati ya mechi hizo.
"imekuwa muda kidogo tangu tukutane japo nafahamu kuwa mekuwa akicheza vyema''.Williams aliiambia BBC Michezo.
Balotelli hajarejea kambini-Liverpool:

Balotelli hajarejea kambini-Liverpool
Mshambulizi wa Liverpool na Italia , Mario Balotelli hajarejea kambini Anfield kwa mazoezi ya kabla ya kuanza kwa msimu mpya.
Muitaliano huyo ambaye hakuwa na msimu wa kufana alipojiunga na the Reds anasemekana kuwa alifiwa.
The Reds' walirejea katika kambi ya mazoezi siku ya jumatatu baada ya likizo ndefu ya msimu wa jua.
"ningependa kuwashukuru mashabiki wangu wote''
''Familia yangu inawashukuru pia''alisema mshambulizi huyo machachari.
Balotelli mwenye umri wa miaka 24 anatarajiwa kujiunga na kikosi hicho cha Liverpool kabla ya ziara ya kujipima nguvu mashariki ya mbali na Australia.
Tangu ajiunge na the Reds mshambulizi huyo wa zamani wa Manchester City hakunga'ara kama ilivyotarajiwa baada ya kununuliwa kwa kima cha pauni milioni £16m mwezi Agosti.
Alifunga mabao 4 ikiwemo moja npekee katika ligi ya premia na hakuweza kuhakikishiwa afasi ya timu ya kwanza licha ya kutokuwepo kwa nyota kutoka Uruguay Luis Suarez.
Oliseh kuwa kocha wa Nigeria ?

Oliseh anafanya mazungumzo na shirikisho la soka la Nigeria NFF kwa nia ya kutangazwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria.
Je, Sunday Oliseh ndiye atakaye kuwa kocha mpya wa Nigeria ?
BBC imebaini kuwa kiungo huyo wa kati wa zamani wa Super Eagles ya Nigeria, Sunday Oliseh anafanya mazungumzo na shirikisho la soka la Nigeria NFF kwa nia ya kutangazwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria.
Nahodha huyo wa zamani wa Super Eagles mwenye umri wa miaka 40 aliingoza timu hiyo katika mechi 63 za kimataifa.
Kwa mujibu wa mwandani wetu anatarajiwa kutangazwa karibuni kuwa kocha mpya.
NFF ililazimika kufanya bidii ilikuziba pengo lililoachwa wazi na Stephen Keshialiyefutwa kazi mwishoni mwa juma.
Oliseh alikuwa miongoni mwa kikosi cha taifa kilichotwaa kombe la mataifa ya Afrika mwaka wa 1994 na kisha nishani ya dhahabu ya olimpiki mwaka wa 1996 .
Oliseh vilevile alikuwa katika kikosi kilichoiwakilisha Nigeria katika kombe la dunia la mwaka wa 1994 na 1998.
Super eagles ilifuzu katika mkumbo wa 16 bora katika mashindano hayo mawili.
Oliseh anakumbukwa kwa bao lililoisaidia Nigeria kuibana Uhispania katika mechi za makundi.
Kizazi chake kinatajwa na wengi kuwa maarufu zaidi katika historia ya soka ya nchi hiyo kwa pamoja na Jay-Jay Okocha, Nwankwo Kanu na Finidi George.
Oliseh amekuwa akihudumu kama mtangazaji wa kandanda mbali na kuwa mshauri wa FIFA wa maswala ya kiufundi.
Japokuwa Oliseh hana tajriba ya kufunza timu ya taifa aliwahi kuifunza timu ya daraja la pili la Ubeljiji Vervietois kati ya mwaka wa 2008 na 2009.
Iwapo atatangazwa kuwa kocha wa Nigeria Oliseh atachukua hatamu kutoka kwa mkurugenzi wa kiufundi wa NFF Shaibu Amodu na kocha msaidizi Salisu Yusuf.
Sterling:Mchezaji anayethaminiwa zaidi Ulaya:

Nyota wa Liverpool Raheem Sterling ndiye mchezaji chipukizi anayethaminiwa zaidi barani Ulaya kwa mujibu wa utafiti.
Raia huyo wa Uingereza ambaye harakati za kuhamia Manchester City, zilitumbukia nyong'o amekadiriwa kuwa mwenye thamani ya pauni milioni 35 na kampuni ya utafiti ya Soccerex inayochapisha Orodha
ya wachezaji wenye thamani ya juu ama 20 Football Value Index.
Manchester City ilikuwa imeweka dau la pauni milioni £40 lakini ombi lao likakataliwa na Liverpool.
Mlinzi wa Manchester United, Luke Shaw ameorodheshwa katika nafasi ya 9, John Stones wa Everton ameorodheshwa wa 16 huku kiungo wa Arsenal Calum Chambers akiorodheshwa katika nafasi ya 19.
Kampuni hiyo ya Soccerex imefanya utafiti huo miongoni mwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 wanaocheza katika ligi za bara ulaya.
Inatumia vipengee kama umri,nafasi wanayocheza uwanjani,Klabu,urefu wa Kandarasi,mechi walizochezea timu zao za taifa,mechi walizocheza,mabao waliofunga,majeraha na ubora wao kitalanta.
''tukiangalia kwa kina vipengee hivi vyote tunaweza kutathmini uwezo na thamani ya mchezaji.''
''Hivyo vyote ndivyo vilitusaidia kubaini kuwa Sterling ndiye mchezaji bora na mwenye thamani ya juu zaidi barani ulaya kwa sasa.'' alisema bwana Esteve Calzada
Mlinzi wa Paris St-Germain ya Ufaransa ambaye ni raia wa Brazil Marquinhos ameorodheshwa katika nafasi ya pili na thamani ya pauni milioni £27.8.
Mchezaji mpya wa Manchester United vilevile ye Uingereza Memphis Depay aliyegharimu kitita cha pauni milioni £31 ameorodheshwa katika nafasi ya tatu akiwa na thamani ya pauni milioni £23.8.
Calzada anasema kuwa sheria iliyowekwa na shirikisho la soka la Uingereza ambayo inazilazimisha vilabu vya Uingereza kuwa na takriban wachezaji 8 raia wa Uingereza imeongeza maradufu thamani ya wachezaji waingereza.
Wachezaji 4 katika orodha hiyo ni raia wa Uingereza huku9 kati ya 20 bora wakitarajiwa kucheza katika ligi kuu ya Uingereza msimu ujao.
| 1. Raheem Sterling (Liverpool) £35m | 7. Mateo Kovacic (Inter Milan) £18.5m |
| 2. Marquinhos (Paris St-Germain) £27.8m | 8. Jose Gaya (Valencia) £18.3m |
| 3. Memphis Depay (Manchester United) £23.8m | 9. Luke Shaw (Manchester United) £18m |
| 4. Domenico Berardi (Sassuolo) £21.6m | 10. Aymeric Laporte (Athletic Bilbao) £17m |
| 5. Jose Gimenez (Atletico Madrid) £21.4m | 16. John Stones (Everton) £12m |
| 6. Hakan Calhanoglu (Bayer Leverkusen) £19.4m | 19. Calum Chambers (Arsenal) £10.6m |
Reports-bayern-munich-offer-star-duo-manchester-united-flop-angel-di-maria ?

Bayern Munich are ready to offer Thomas Muller AND Arjen Robben to Manchester United in a bid to land Angel Di Maria, according to reports.
The Bundesliga giants are keen on the Argentine, and believe the former Real Madrid star's poor season at Old Trafford could allow them to swoop.
And German newspaper Bild claim Pep Guardiola is ready to lose both Thomas Muller and Arjen Robben to get the 27-year-old to the Allianz Arena.
It's reported the deal could be sweetened even further for United with cash added on top of the pair, who shone at the 2014 World Cup in Brazil.
Robben, who worked with Louis van Gaal with the Netherlands national team at the tournament, was linked with a switch to Old Trafford after the competition, but decided to stay in Munich.
PREVIOUS STORIES JULY 6, 2015;
Serena na Venus kuchuana-Wimbledon.

Serena Williams na nduguye Venus wanatarajiwa kuvaana leo katika mchezo wa mzunguko wa nne wa mashindano ya Wimbledon.
Wanadada hao raia wa Marekani leo itakuwa ni mara yao ya 26 kukutana huku Venus ambaye ndio mkubwa akijaribu kurejea katika kiwango chake baada ya kudhoofika kwa maradhi .
Kutokana na udugu wao, Serena amesema uhusiano wao ni muhimu zaidi kuliko kipute hicho, japo anauhakika kuwa mchezo huo utakuwa mzuri na chochote kitakachojiri kitabaki hapo hapo uwanjani.Naye Andy Murry atamenyana na Ivo Karlovic katika mashindano hayo hayo.
Mkwasa:Tumecheza vizuri

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa 'Master' amesema timu yake imepigana kufa na kupona na kucheza vizuri licha ya kutolewa na wenyeji Uganda (The Cranes) katika kinyang’anyiro cha kugombea tiketi ya kufuzu kucheza fainali za CHAN mwakani nchini Rwanda.
Stars imetoka sare ya bao 1- 1 dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mchezo wa marudiano kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2017 nchini Rwanda uliofanyika uwanja wa Nakivubo Jumamosi.
Stars ilicheza soka la kuvutia tangu mwanzo mpaka mwisho wa mchezo hali iliyowaduwaza wenyeji Uganda.Mpaka dakika 45 za mchezo za kipindi cha kwanza zinamalizika, Uganda 0 - 0 Tanzania.
Kipindi cha pili kilianza kwa Stars kufanya mashambulizi mfululizo kupitia kwa washambuliaji wake John bocco na Rashid Mandawa.Dakika ya 58, John Bocco aliipatia Tanznaia bao la kwanza kwa mkwaju wa penayi kufuatia mlinzi wa Uganda Bakaki Shafik kuunawa mpira wa ndani ya eneo la hatari.
Mara baada ya bao hilo Uganda walifanya mashambulizi mfululizo langoni mwa Stars na kufanikiwa kupata bao la kusawzisha dakika ya 82, kupitia kwa mchezaji Kizito Hezron.
Mpaka dakika 90 za mchezo zinamalizika Uganda 1 - 1 Tanzania. Kwa matokeo hayo Uganda wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla ya mabao 4 - 1 na sasa watakutana na Sudan.Kocha wa Uganda Sredojevic Milutin 'Micho' amewasifu wachezaji wake kwa kuweza kuzuia mashambulizi ya Stars.
Vikosi vya timu hizo vilikuwa kama ifuatavyo:
Taifa Stars: Ally Mustafa, Shomari Kapombe, Haji Mngwali, Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Mudathir Yahya, Deus Kaseke, Frank Domayo,/Said Ndemla John Bocco, Rashid Mandawa/Salum Telela, Saimon Msuva/Ramadhan Singano.
The Cranes: James Alitho, Muzamiru Mutyaba, Brian Ochwo, Hassan Waswa, Denis Oola, Faruk Miya, John Shemazi/Robert Sentongo, Bakaki Shafik, Tekkwo Derick/Kizito Hezron/Kalanda Frank.
Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake:

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2. Katika fainali hii makubwa yaliweza jitokeza katika uwanja wa Vancouver mbele ya hamsini elfu mashabiki baada ya Wamarekani kufunga mabao manne kwa mfululizo katika dakika kumi na tano za mwanzo wa mchezo. Carli Lloyd alifanya hila mpaka muda mfupi baada ya mechi akapatiwa taji lai mchezaji bora wa mashindano. Hata hii ni mara ya tatu katika michuano ya Kombe la dunia ya timu ya Marekani ya wanawake kutokea hila hizi.Maafisa kutoka FIFA wameshutumu uongozi wa soka duniani kwa kupingwa na umati wa watu.
PREVIOUS STORIES JULY 4, 2015;
STARS LEO NI LEO UGANDA:

Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa mazoezini Kampala, Uganda kujiandaa na mechi kati yao na The Cranes itakayofanyika katika uwanja wa Nakivubo.
Fenerbahce kumsajili Nani wa Man United:

Mchezaji wa klabu ya Manchester United Nani anatarajiwa kufanyiwa ukaguzi wa matibabu katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahce baada ya vilabu hivyo viwili kukubaliana ada ya yuro milioni 6 kwa uhamisho wa mchezaji huyo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alihamia Manchester United kutoka klabu ya Sporting Lisbo ya Ureno.
Alicheza msimu uliopita katika kilabu ya Sporting Lisbon na kufanikiwa kufunga mabao 11.


Fenerbahce inasema kuwa mazungumzo ya uhamisho wa mchezaji huyo yanaendelea na kwamba Nani atakuwa mjini Istanbul ili kufanyiwa ukaguzi wa matibabu.
Nani ameshinda mataji manne ya Ligi ya Uingereza na moja la vilabu bingwa Ulaya akiichezea Manchester United.
Alitia sahihi mkataba wa miaka mitano na kilabu hiyo mwaka 2013
Barcelona kumsajili Pogba:

Mgombea wa wadhfa wa urais katika klabu ya Barcelona Joan Laporta anasema kuwa mabingwa hao wa Ulaya watajaribu kumsajili kiungo wa kati wa Juventus Paul Pogba iwapo atachaguliwa.
Ripoti zinasema kuwa kilabu ya Barcelona ilijaribu kumsajili raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 22 ambaye aliisaidia Juventus kushinda ligi ya Serie A na kufika fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya.
''Kuna mchezaji tunayempenda sana -Paul Pogba. Tunamjua ajenti wa mchezaji huyo na hilo na swala muhimu katika oparesheni zetu. Tutajadiliana na wakala wake pamoja na klabu ya Juventus'',. Alisema Laporta.
Siku ya Jumatano ,vyombo vya habari nchini Uhispania na Italy vilisema kuwa Barcelona imetoa kitita cha yuro milioni 80 kwa mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United ambaye pia anahusishwa na uhamisho katika vilabu vya Chelsea na Manchester City.
Malinzi awa mbogo kashfa za Fifa:

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamali Malinzi amegeuka Mbogo kwa kutamka wazi kuwa hapendi kabisa kusikia wala kuzungumzia kashfa ya rushwa inayolikabili Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) iliyowapukutisha maafisa kadhaa akiwamo Rais wake, Sepp Blatter aliyejiuzulu.
Malinzi alitoa kauli hiyo juzi Jumapili alipoulizwa na gazeti hili juu ya maoni yake kuhusu kashfa hiyo muda mfupi baada ya kuzungumzia mikakati yake inayolenga Tanzania kucheza fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2026.
“Suala la rushwa ndani ya Fifa sipendi kulisikia wala kulizungumzia, naomba uniache,’’ alisema Malinzi kwa kifupi na kugeukia upande mwingine wa kiti alichokaa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini hapa wakati wa pambano la kirafiki kati ya timu ya taifa ya U15 na Mbeya Kombaini.
Viongozi kadhaa wa FIFA walishikiliwa na Idara za Kijasusi za Marekani kutokana na kile kilichoelezwa uchunguzi wao walioufanya kwa miaka 20 iliyopita juu ya ufisadi na vitendo vya rushwa ndani Fifa na kumfanya Blatter kutangaza kuachia ngazi kwa hiari.
Kuhusu mikakati ya Tanzania kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026, Malinzi alisema TFF imeamua kuichukua timu ya U15 iliyotokana na mashindano ya Copa Cocacola na ilifika Mbeya kucheza ili kusaka vipaji vipya.
By Lauden Mwambona
Schmeichel amwomba De Gea abaki Old Trafford:
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamali Malinzi amegeuka Mbogo kwa kutamka wazi kuwa hapendi kabisa kusikia wala kuzungumzia kashfa ya rushwa inayolikabili Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) iliyowapukutisha maafisa kadhaa akiwamo Rais wake, Sepp Blatter aliyejiuzulu.
Malinzi alitoa kauli hiyo juzi Jumapili alipoulizwa na gazeti hili juu ya maoni yake kuhusu kashfa hiyo muda mfupi baada ya kuzungumzia mikakati yake inayolenga Tanzania kucheza fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2026.
“Suala la rushwa ndani ya Fifa sipendi kulisikia wala kulizungumzia, naomba uniache,’’ alisema Malinzi kwa kifupi na kugeukia upande mwingine wa kiti alichokaa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini hapa wakati wa pambano la kirafiki kati ya timu ya taifa ya U15 na Mbeya Kombaini.
Viongozi kadhaa wa FIFA walishikiliwa na Idara za Kijasusi za Marekani kutokana na kile kilichoelezwa uchunguzi wao walioufanya kwa miaka 20 iliyopita juu ya ufisadi na vitendo vya rushwa ndani Fifa na kumfanya Blatter kutangaza kuachia ngazi kwa hiari.
Kuhusu mikakati ya Tanzania kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026, Malinzi alisema TFF imeamua kuichukua timu ya U15 iliyotokana na mashindano ya Copa Cocacola na ilifika Mbeya kucheza ili kusaka vipaji vipya.
By Lauden Mwambona

UKIONA mtu mzima analia, ujue kuna jambo. Ni kweli. Kipa mkongwe wa Manchester United, Peter Schmeichel amefunguka na kumlilia kipa wa sasa wa timu hiyo, David de Gea akimwomba asiondoke Old Trafford kwenda Real Madrid.
De Gea ambaye alinunuliwa kwa dau la Pauni 18 milioni Julai 2011 akitokea Atletico Madrid, anataka kurudi nyumbani Hispania kukipiga Real Madrid ili awe karibu na familia yake pamoja na mpenzi wake ambao wanaishi Madrid.
Pamoja na kuanza ovyo maisha yake ya soka Old Trafford katika kipindi cha miezi 18 ya mwanzo, De Gea ameibuka kuwa mmoja kati ya wachezaji nyota wa Manchester United huku akiiwezesha kunyakuwa pointi mbalimbali ambazo zilikaribia kuponyoka.
Sasa, Schmeichel, ambaye alitwaa mataji matatu na Man United mwaka 1999 huku akitwaa mataji 15 jumla katika kipindi cha miaka minane aliyokaa Old Trafford amemtaka De Gea afikirie mara mbili uamuzi wake wa kuondoka Old Trafford.
Amemtaka kipa huyo abaki United na kushinda mataji mengi zaidi pengine kuliko ambayo yeye alishindwa wakati akiwa staa wa timu hiyo miaka ya nyuma.
“Nitachukia sana kama akiondoka katika kipindi hiki cha majira ya joto kwa sababu angeweza kubaki United na kucheza mechi kibao na mwishowe aishie kushinda mataji mengi kuliko mimi,” alisema Schmeichel ambaye katika kipindi chake aliwahi kuwa nahodha msaidizi wa United chini ya kiungo, Roy Keane.
“Hakuna sababu ambayo itamfanya asiwe na mafanikio kama akiamua kubaki kwa kipindi chake chote cha maisha yake ya soka,” alisema kipa huyo wa kimataifa wa Denmark ambaye alitwaa taji la Euro mwaka 1992 akiwa na kikosi cha Denmark.
De Gea amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake wa sasa United na Schmeichel amemsihi Kocha wa United, Louis van Gaal kumpa ofa yoyote ya mkataba ambayo Mhispania huyo atahitaji ili kusaini mkataba mpya.
“Chochote ambacho David anataka katika mkataba mpya, kama ningekuwa Van Gaal, ningempa na kufanya kila niwezavyo kumbakisha Manchester,” aliongeza Schmeichel.
“Lazima tukubali hii, idadi ya mechi ambazo David aliziokoa pointi tatu au moja ndiyo sababu ya kwa nini Manchester United imeshika nafasi ya nne katika msimamo. Amekuwa bora sana,” aliongeza Schmeichel.
Mpaka sasa mabishano yameendelea baina ya Manchester United na Real Madrid kuhusu thamani halisi ya staa huyo anayetazamiwa kuchukua nafasi ya kipa Iker Casillas ambaye ameshaanza mazungumzo na AS Roma.
Wakati Madrid ikitaka kutoa pesa kiduchu kumpata De Gea ambaye amebakiza miezi 12 tu Old Trafford amalize mkataba wake, Manchester United inaamini kuwa bado kipa huyo anapaswa kuwa kipa ghali zaidi katika rekodi ya uhamisho wa makipa duniani.
DEMBA BA AJIUNGA NA SHANGHAI SHENHUA:

Demba Ba
Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Demba Ba amejiunga na timu ya Shanghai Shenhua akitokea timu ya Besiktas ya Uturuki.
Ba mwenye umri wa miaka 30 alikua anatarajiwa kurudi katika ligi kuu ya England, lakini ameamua kuelekea mashariki ya mbali kusakata kabumbu.
Mchezaji huyu wa zamani wa vilabu vya Newcastle na Chelsea, alifunga mabao 27 katika michezo 44 aliyoicheza timu ya Besiktas, msimu uliopita.
Nyota huyu wa kikosi cha simba wa Teranga(Senegal) nyota yake ilianza kungara mwaka 2005 katika klabu ya Rouen kabla ya kuelekea Ubelgiji alikocheza kwa msimu mmoja katika timu ya Mouscron.
Baadae akatimkia Ujerumani kwa miaka 4 akiitumika klabu ya Hoffenheim msimu wa 2011 akajiunga na wagonga nyundo wa London West Ham.
Baada ya kufanya vizuri na West Ham akajiunga na Newcastle katika msimu wa 2011/12alipofunga mabao 29 katika michezo 57 kabla ya kuhamia Chelsea na kucheza michezo 51 akizifumania nyavu mara 14.
STARS YAWAFATA THE CRANES:
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeondoka nchini mwao kuelekea Uganda kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano dhidi ya The Cranes siku ya jumamosi.
Kikosi cha Taifa Stars kimeaondoka kikiwa na wachezaji 20,na viongozi 7 wa bechi la ufundi,Mchezo wa jumamosi ni wa marudiano kuwania kufuzu kwa fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) zitakazofanyika nchini Rwanda, huku mechi hiyo ikichezwa saa 10 jioni katika uwanja wa Nakivubo.
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema vijana wake wamefanya mazoezi vizuri katika kipindi chote cha maandalizi, na sasa wako tayari kwa mchezo huo, mipango ikiwa ni kupata ushindi siku ya jumamosi.
Wachezaji Abdi Banda na Mohamed Hussein wameacha katika msafara huo kwa sababu ya kuwa majeruhi
PREVIOUS STORIES;
MURRAY KUCHEZA RAUNDI YA PILI WIBLEDON:
Andy Murray mcheza tenis wa Uingereza afuzu raundi ya pili ya michuano ya tenis ya Wimbledon 2015
Andy Murray anaungana na Waingereza wenzake watatu kucheza hatua ya pili ya michuano ya tenis ya Wimbledon inayoendelea jijini London, baada ya kumcharaza Mikhail Kukushkin wa Kazakhstan.
Murray, wa tatu kwa ubora duniani alishinda kwa seti 6-4 7-6 (7-3) 6-4 katika mchezo uliodumu kwa saa mbili na dakika 13 wakati hali ya hewa ikiwa nyuzi joto 41 za Selisyasi.
Murray anasema ilikuwa mechi ngumu. Na yeye ndiye aliyeifanya iwe hivyo katika seti ya pili ya mchezo.
Kuingia raundi ya pili Murray anaungana na Waingereza wenzake Liam Broady, Aljaz Bedene na James Ward kutinga raundi ya pili, akiwemo pia Heather Watson namba moja kwa ubora nchini Uingereza kwa upande wa wanawake akimbwaga Caroline Garcia wa Ufaransa kwa seti 1-6 6-3 8-6 .
Hii ni mara ya kwanza kwa Waingereza wanne kwa pamoja kutinga raundi ya pili tangu mwaka 2006. Katika raundi hiyo Murray atakabiliana na Mholanzi Robin Haase, ambaye alimbandua Alejandro Falla wa Colombia kwa seti nne.
RAMOS KUNYAKULIWA NA MAN U?

Timu ya Manchester United ya Uingereza inaamini kuwa Sergio Ramos mwenye umri wa miaka 29 anataka kuondoka Real Madrid baada ya timu hiyo kushindwa kumwongezea mkataba, ambapo mkataba wa sasa unamalizika mwaka 2017.
Manchester United imependekeza kitita cha pauni milioni 28.6 kwa Real Madrid ili kumnyakua mlinzi wake Sergio Ramos.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania ameichezea timu ya Real mara 445.
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal anataka kuimarisha sehemu ya ulinzi ili kuisaidia timu yake kufanya vizuri katika michuano ya ligi kuu ya England ambapo msimu uliopita alishika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hiyo.
Ramos alijiunga na Real akitokea timu ya Sevilla mwaka 2005.
Ameichezea timu ya taifa ya Hispania mara 128 na alikuwa katika kikosi cha kwanza wakati waliposhinda kombe la Ulaya mwaka 2008, 2012 na Kombe la Dunia mwaka 2010.
PREVIOUS STORIES;
PREVIOUS STORIES;
COPA AMERICA: PARAGUAY YAIONDOA BRAZIL:

Paraguay imejikatia tikiti ya nusu fainali ya mchuano wa Copa America baada ya kuilaza Brazil katika hatua ya robo fainali.
Paraguay ilijikatia tikiti hiyo baada ya kuilaza Brazil mabao 4-3 kwa mikwaju ya penalti.
Timu hizo zilikuwa zimetoka sare ya 1-1 katika muda wa kawaida.
Paraguay sasa itakabiliana na Argentina katika nusu fainali.
Robinho alikuwa ameiweka Brazil kifua mbele kunako dakika ya 15 ya kipindi cha kwanza baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Dani Alves .
KOMBE LA DUNIA: ENGLAND YAIONDOA CANADA:

Timu ya wanawake ya England ilifuzu kwa hatua ya nusu fainali ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza katika historia ya Mashindano hayo baada ya kuilaza Canada 2-1
Ushindi huo wa kihistoria wa England sasa umewapa fursa ya kuchuana na Japan.
''The Lionesses'' kama wanavyofahamika England walijikakamua kuhimili mashambulizi ya wenyeji hao kabla ya kiungo wao Jodie Taylor,kutumia vyema makosa ya mlinzi wa Canada Lauren Sesselmann na akaiweka Uingereza mbele kwa bao la kwanza.
Taylor ambaye alikuwa anarejea mashindanoni kwa mara ya kwanza tangu afanyiwe upasuaji wa goti wikitisa zilizotangulia alikuwa mwiba katika safu ya ulinzi ya Canada.
Haikujalisha kuwa Canada walikuwa wanafurahia mashabiki zaidi wanyumbani ,Taylor wa Uingereza aliwanyamazisha kunako dakika ya 11 ya kipindi cha pili.
Hata kabla kivumbi hakijatulia ,Mashambulizi ya England yalizaa matunda dakika 3 baadaye.
Lucy Bronze alifunga bao la pili baada ya kufunga kwa kichwa mkwaju safi tu wa Freekick ulipigwa na Fara Williams.
England itajilaumu yenyewe kwani walitawal mechi hiyo hadi dakika za mwisho mwisho za kipindi hicho cha kwanza utepetevu wa safu ya ulinzi wa England ulipoitunuku Canada bao la kufutia machozi.
Kimsingi kipa wa England Karen Bardsley alifanya makosa yaliyomruhusu Christine Sinclair kufufua matumaini ya wenyeji.
Kufuatia ushindi huo sasa England watalazimika kumakinika zaidi dhidi ya Japan ambao ni wazoefu katika hatua hiyo.
PREVIOUS STORIES;
PREVIOUS STORIES;
LIVERPOOL YAONGEZA JITIHADA KUMNASA BENTEKE

Klabu ya Liverpool imeongeza kasi ya kumnasa mshambuliaji wa Aston villa Christian Benteke ili kuimalisha safu ya ushambuliaji msimu ujao, na iko tayari kutoa zaidi ya euro million 25.
HAPPY BIRHDAY SAMIR NASRI:

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester city ya Uingereza pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa Samir Nasri leo ametimiza miaka 28, Nasri alizaliwa tarehe 26 mwezi 6 mwaka 1987 mjini Septemesles-Valloa Ufaransa.
STEWART AWAZUIA MORAD NA MWANTIKA:
Kocha wa Azam, Stewart Hall
KOCHA Mkuu wa Azam, Stewart Hall, amezuia mpango wa kuwatema wachezaji wanaocheza nafasi ya beki wa kati, Said Morad na David Mwantika.
Morad tayari ameshapewa mkataba wa miaka miwili wakati Mwantika naye anatarajiwa kuongezewa muda jambo linalozima ndoto za klabu zilizokuwa zikiwanyemelea wachezaji hao zikiwamo Simba na Mwadui Shinyanga.
Kocha Hall alisema anajua umuhimu wa Morad na Mwantika kwenye timu yake ndiyo maana ameamua wabaki.
Akielezea sifa za kila mmoja wao, alisema Morad ana nguvu, mbabe na ana uwezo wa kucheza mpira katika uwanja wenye mazingira yoyote vikiwamo vile vibovu vya mikoani.
Kuhusu Mwantika, alisema naye ni hivyo hivyo lakini zaidi ni beki wa kati mwenye kasi anayeweza kuwadhibiti washambuliaji machachari kama Mrisho Ngassa au Simon Msuva.
Akizungumza na Mwanaspoti, kocha huyo aliongeza: “Siwezi kuwaacha Morad wala Mwantika kwa sababu bado nawahitaji kikosini, kila mmoja wao ana umuhimu wake kwenye timu kama nilivyotaja sifa zao.”
KOCHA Mkuu wa Azam, Stewart Hall, amezuia mpango wa kuwatema wachezaji wanaocheza nafasi ya beki wa kati, Said Morad na David Mwantika.
Morad tayari ameshapewa mkataba wa miaka miwili wakati Mwantika naye anatarajiwa kuongezewa muda jambo linalozima ndoto za klabu zilizokuwa zikiwanyemelea wachezaji hao zikiwamo Simba na Mwadui Shinyanga.
Kocha Hall alisema anajua umuhimu wa Morad na Mwantika kwenye timu yake ndiyo maana ameamua wabaki.
Akielezea sifa za kila mmoja wao, alisema Morad ana nguvu, mbabe na ana uwezo wa kucheza mpira katika uwanja wenye mazingira yoyote vikiwamo vile vibovu vya mikoani.
Kuhusu Mwantika, alisema naye ni hivyo hivyo lakini zaidi ni beki wa kati mwenye kasi anayeweza kuwadhibiti washambuliaji machachari kama Mrisho Ngassa au Simon Msuva.
Akizungumza na Mwanaspoti, kocha huyo aliongeza: “Siwezi kuwaacha Morad wala Mwantika kwa sababu bado nawahitaji kikosini, kila mmoja wao ana umuhimu wake kwenye timu kama nilivyotaja sifa zao.”
ENGLAND YAWATETEA WACHEZAJI CHIPUKIZI:

England imefanya uamuzi sahihi kuwaondoa katika michuano ya ubingwa wa Ulaya kwa wachezaji wa umri chini ya miaka 21, baadhi ya wachezaji wake ambao wanacheza ligi kuu ya nchi hiyo, amesema mkurugenzi wa chama cha soka wa maendeleo ya wachezaji Dan Ashworth.
Timu ya England chini ya kocha Gareth Southgate ilifuzu kucheza hatua ya makundi kwa kwenda Jamhuri ya Czech.
"Tulifanya uamuzi na nautetea ," Ashworth amemwambia mwandishi mwandamizi wa BBC wa habari za mpira wa miguu Ian Dennis.
"Timu za vijana zipo kusaidia kuwakuza wachezaji na kuwapa uzoefu kuingia katika timu ya wakubwa."
Mchezaji wa ushambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling, kiungo wa Everton Ross Barkley, viungo wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain na Jack Wilshere na mlinzi wa Manchester United Phil Jones ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakihitajika katika timu hiyo, lakini hawakuitwa.
England, ambayo ilikuwa na wachezaji wa ligi kuu, akiwemo mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, mlinzi wa Everton John Stones na mshambuliaji mpya wa Liverpool Danny Ings, ilipoteza kwa Ureno 1-0 , wakaifunga Sweden kwa idadi kama hiyo lakini ilipoteza 3-1 kwa Italia.
PREVIOUS STORIES JUNE 25, 2015.
PREVIOUS STORIES JUNE 25, 2015.
TANZANITE YAINGIA KAMBINI:
Kikosi cha wacheaji 22 chini ya Kocha Mkuu Rogasian Kaijage kinafanya mazoezi asubuhi na jioni katika uwnaja wa Azam uliopo Chamazi kujiandaa na mchezo dhidi ya U-20 ya Zambia utakaofanyika kati ya tarehe 10, 11 na 12 July jijini Dar es salaam.Mchezo huo dhidi ya Zambia ni wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Wanawake za Dunia wenye umri chini ya miaka ya 20, zitakazofanyika nchini Papua New Guinea mwaka 2016
Wachezaji waliopo kambini ni, Najiati Abbasi, Zuwena Aziz, Shelder Boniface, Stumai Abdallah, Donisia Daniel, Tatu Iddy (Evergreen Queens), Niwael Khalfani, Maimuna Hamis (Mburahati Queens), Anastazia Anthony, Amisa Athumani, Amina Ramadhani, Neem Paulo (JKT Queens).Wengine ni Asha Shaban, Rebeka Daniel, Brandina Wincelaus (Tanga), Happines Hezroni, Jane Cloudy (JKT Queens), Wema Richard, Gerwa Lugomba, Sadda Ramadhani (Uzuri Queens), Anna Hebron (Evergreen Queens) na Shehati Mohamed (Mburahati Queens)Aidha wachezaji Monica Henry, Tumaini Michael (Uzuri Queens), Diana Msewa (Mbeya), na Vailet Nicolaus (Evergreen) bado hawajaripoti kambini wanaombwa kuripoti na kuungana na wenzao katika maandalizi ya mchezo huo dhidi ya Zambia.
FENERBAHCE YA UTURUKI YAKARIBIA KUMSAJILI LUIS NANI:

Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki ambayo imekuwa ikimfikuzia Mreno Luis Nani ambae pia ni Winga wa Manchester United inakaribia kukamilisha makubaliano ya uhamisho wa mchezaji huyo kwa ada ya euro million 4.3 siku zijazo. Fenerbahce imekuwa ikimfuatilia Nani takriban ni miezi sita iliyopita.
ENGLAND YACHAPWA NA ITALIA

Timu ya England chini ya miaka 21 imekubali kichapo cha Mabao 3-1 kutoka kwa Italia katika michuano ya ulaya.
Italia walianza kuandika bao lao la kwanza dakika ya 25 ya mchezo, kwa bao la Andrea Belotti Kabla ya Marco Benassi kuongeza mengine mawili dakika ya 27 na 72.
Nathan Redmond akaifungia timu yake ya England bao la kufutia machozi baada ya kazi nzuri liliyofanya na kiungo Ruben Loftus-Cheek.
Katika mchezo mwingine wa michuano hii Ureno walikwenda sare ya kufungana bao 1-1 na sweden.
Kwa matokea haya Ureno na sweden wanasonga mbele kenye hatua ya Nusu fainali na kuungana na mataifa ya Ujeruman na Denmark.
Klabu ya Liverpool imemsajili mshambuliaji wa Brazil Roberto Firmino kutoka klabu ya Hoffenheim kwa kanadarasi ya miaka mitano itakayogharimu pauni millioni 29.
Mkataba huo utaandamana na ukaguzi wa kimatibabu ambao utafanyika baada ya mchezaji huyo kurudi kutoka Chile ambapo amekuwa akiichezea Brazil katika michuano ya Copa America.
Firmino ambaye amefunga mabao 47 katika mechi 151 akiwa katika kilabu ya Hoffenheim atakuwa mchezaji wa pili wa Liverpool aliyeghali mno.
Kilabu hiyo ya Anfield ilimfanya mchezaji Andy Carroll kuwa mchezaji ghali alipojiunga nayo kwa kitita cha pauni milioni 35 kutoka Newcastle mwaka 2011.

This comment has been removed by the author.
ReplyDelete