Q-Chief kuandaa wimbo utakaotoka siku akifa


Msanii nyota wa muziki nchini, Aboubakar Shaaban Katwila maarufu kama Q-Chief amesema kuna wimbo alioutunga kwaajili ya mtoto wake utakaotoka baada ya kifo chake.
10956351_663821843741171_1618248528_n

Akizungumza na BBC Swahili hivi karibuni, Q Chief alisema aliamua kuandika wimbo huo baada ya mtoto wake huyo ‘kumtoa katika matumizi ya madawa ya kulevya.’
“Nilifanya ngoma ambayo inaitwa ‘Asante’, nilisema sita u-release labda Mungu akinichukua mbele ya haki itatoka,” alisema.
“Mtoto wangu alikuwa special sana wakati ule, maneno ya huo wimbo ni manano yanayomhusia na yatabaki kwenye akili yake,” aliongeza.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment