Hii ni Top 10 ya raba kali ulimwenguni katika Mauzo, Kuvaliwa na kusifiwa kwa ubora




Leo nimeona nikuletee viatu/raba ambazo zimeingia kwenye Top 10, Hapa tunaangalia list ya viatu ambavyo kwa miaka vimekuwa vikiongozwa kwa kununuliwa, kuvaliwa na hata kusifiwa kwa ubora wake. Hivyo nakuletea boots na heels zinazo pendwa.



Hii hapa Top 10 list.

10: New Balance
9: Aldo
8: Dr. Martens
7: Steve Madden
6: Puma SE
5: Vans
4: Reebok
3: Converse
2: Adidas
1: Nike, Inc.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment