Nuh Mziwanda amchana Wema kutuma watu wamtongoze Shilole baada ya mpango wake wa kuvujisha sauti kufeli



Baada ya sauti inayo sikika ya Nuhu Mziwanda kusambaa kwenye mitandao ya kijamii inayo sikika ikitambulisha Nuh kumtongoza Wema Sepetu, Mapenzi ya Nuh na Shilole yameingia kwenye dosara kubwa kiasi ya kwamba Mziwanda kumuangushia lawama Wema kuwa ndiyo chanzo cha kumfarakanisha yeye na mpenzi wake.

Leo kwenye account yake ya Instagram, Nuh Mziwanda ameamua kuweka ya moyoni kwa kumtaja wema anawatuma watu wamtongoze Shilole baada ya kuona mpango wake wa kuwasambaratisha umeshindikana kwa kusambaza sauti inayo sikika akitongozwa.


Mziwanda ameandika haya akiwa kaambatanisha na picha ya Wema.
"Nakupa hongera kwa kufanikiwa kutoa amani katika mapenzi yangu mimi Na zuwena'maana hukua na nia njema wewe pamoja na team yako'na hata kama ingekua kweli ungemfata pembeni zuwena na kumweleza kua bwana ako anantongoza na sauti zake hizi hapa'lakini ukaona sio ishu na kuachia mitandaoni'mradi kuniaibisha mimi pamoja na na huyo unaesema unampenda sana na ni shoga yako'kingine Wema umetongozwa na wangapi hapa duniani kwann usiweke Voic note zao?yani moja kwa moja umetaka kusambalatisha mapenzi yetu na now naona mnaanza kutumana kumtongoza shishi'well madam nakupa salute zako'najua unaishi kwa amani na raha 'ila huku umekiwasha mpka mtu unakua hauna amani ya moyo na ukizingatia sijawahi hata kukaa na ww tukapga stor wala kuona undani wa mwili wangu'kipindi una kampeni uling'ang'ania sana niingie kwenye group yako ya whatsup for supporting you'kumbe unanichekea kinafiki na ulikua na mabomu yako umeyapanga kuyalipua 'sawa mama angu ila mimi nimetoa ya moyoni mwangu kwako na naamini ujumbe utakufikia mana nimeshindwa kukaa na duku duku'sisi wote binadam na hatuna garantee ya kuishi'salute kwako kwa ulichofanya." Ameandika Nuh Mziwanda.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment