Kipindi cha 'Game of Thrones' yashinda tuzo za Emmy


Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani. Kipindi cha Game of Thrones, kimenyakua matuzo mengi zaidi ikiwemo makala bora zaidi.

Viola Davis naye ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kupata ushindi wa muigizaji bora zaidi katika kipindi cha "How To Get Away With Murder". Jon Hamm ambaye ameteuliwa mara saba kwa tuzo la muigizaji bora zaidi hatimaye amechukua tuzo hilo kwa uigizaji wake katika kpindi Mad Men.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment