Kama hujaziona picha za arubaini ya kuzaliwa Princess Tiffah mtoto wa Diamond, Hizi hapa picha za tukio hilo


Tarehe 19th Sep, 2015 ilikuwa ni siku ambayo mtoto wa nguli wa muziki hapa nchini Diamond Platnumz anamtoa mtoto wake Princess Tiffah baada ya siku 40 za kuzaliwa kwake. Hizi ni picha zikionyesha tukio hilo lilivyo kuwa na walio hudhuria.















Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment