Hii ni Top 10 ya wanawake wazuri zaidi ulimwenguni


Hii ni Top 10 ya wanawake ambao inaaminika ni warembo kuliko wengine, Vigezo vya kuwachagua vimeangalia ujasiri wao, busara zao, kujulikana kwao, ushawishi, mvuto na mafanikio kwa mwaka wa 2015. Hivyo ndio ujue uzuri sio sura tu!

10. Shakira

Mwanamuziki wa Colombia, muandishi wa mashairi, mcheza muziki, producer, choreographer, na model.

09. Priyanka Chopra

Aliyekuwa Mrembo wa Dunia 'Miss World' 2000 anasimama kwenye nafasi ya 09 ya warembo ulimwenguni. Ni muigizaji wa India na muimbaji pia. Pia ni moja kati ya mastaa wa Bollywood ambao wanalipwa mkwanja mrefu.

08. Kate Upton

Modern fashion model kupitia People Magazine wamemuweka kama moja wa 'sexiest women' ulimwenguni.

07. Taylor Swift

Muandishi mashairi na Muimbaji wa muziki wa marekani,  Taylor Swift ameingia kwenye namba 7 kati ya 10. Anajulikana kwa nyimbo zinazohusiana na yale anayo yaamini na kuyajua kitu kilicho mpelekea atunukiwe tuzo mbalimbali na heshima kama tuzo 7 za Grammy, 16 za American Music Awards, 11 Country Music Association Awards, 8 Academy of Music Awards, Tuzo 34 za Billboard Music na moja ya Brit.

06. Gal Gadot

Miss Universe kwa mwaka 2008 huko Israel, Amekuwa fashion model anajulikana kwa jina la Gisele Yashar kwenye filamu ya The Fast and The Furious.

05. Emma Watson

Staa kutoka movie ya Harry Potter anachukua nafasi ya 5 kwenye Top 10 za wanawake warembo ulimwenguni. Amewekwa kwenye mtandao wa AskMen kama “Top 99 Outstanding Women 2015” na namba 26 kwenye TIME 100 list ya wanawake wenye ushawishi ulimwenguni.

04. Candice Swanepoel

Katika 10 huyu ameshika nafasi ya 4 na ametokea Afika Kusini. Nafasi ya uzuri wake imeanza kwenye Top 10 ya Forbes top-earning models list mwaka jana.

03. Deepika Padukone

Moja kati ya waigizaji wanaolipwa mkwanja mrefu Bollywood. Anachukuliwa kama kati ya wanawake wenye umbo la kimahaba India. Akivutia kwa kuwa na figure nzuri, urefu, tabasamu na jicho lakimahaba.

02. Jennifer Lopez

Muigizaji wa Marekani, Mwanamuziki, Mbunifu mitindo, Mcheza music na Producer anachukua nafasi ya pili kati ya wanawake wazuri ulimwenguni. Mahusiano yake ya kimapenzi yameugusa sana ulimwengu, Amesha olewa mara tatu. J Lo anafurahia mafanikio yake katika maisha.

01. Shailene Woodley

Staa kwenye movie ya 'Divergent'. Ameshika namba moja kwenye list hii ya warembo mwaka 2015. Binti huyu kutoka Hollywood alianza kutikisa mwaka 2011 kwenye 'The Descendants' amechukuliwa kama “55 Faces of the Future” kwamujibu wa Nylon Magazine's Young Hollwood Issue.

Katika list yetu kuna ambaye unamkubali na hajatajwa hapo? Niandikie comment yako juu ya warembo hawa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment