Euro:England, Hispania zashinda tiketi





England wakata tiketi kushiriki michuano ya Euro 2016

Timu ya taifa ya England imeshinda mchezo wake wa kumi katika michezo kumi ya kusaka tiketi ya kushiri katika michuano ya Euro mwaka 2016 huko nchini Ufaransa.

England ambao tayari wamefuzu kushirikia michuano ijayo ya ulaya imewachapa Lithuania kwa mabao 3-0 kwa mabao ya Ross Barkley golikipa Giedrius Arlauskis akijifunga bao la pili na Alex Oxlade-Chamberlain akfunga bao la ushindi.

Hispania nao wakawachapa Ukraine kwa bao 1-0 bao pekee la Hispania likifungwa na Pérez Martínez katika dakika ya 21 ya mchezo.

Matokeo mengine ya michezo hiyo ya kufuzu kwa michuano ya ulaya

Belarus 0 – 0 Macedonia

Luxembourg 2 – 4 Slovakia

Estonia 0 – 1 Switzerland

San Marino 0 – 2 Slovenia

Austria 3 – 0 Liechtenstein

Russia 2 – 0 Montenegro

Sweden 2 – 0 Moldova
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment