Fid Q asingekuwa mwanamuziki angekuwa Professor – Madee



Msanii wa Bongo Fleva anayewakilisha kundi la Tip Top Connection, Madee amesema msanii wa hip hop Bongo, Fid Q kama asingekuwa msanii angekuwa professor.


Madee ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Hela’ amesema kuamini hivyo ni kutokana na upeo mkubwa wa Fid Q.

“Fid kuacha muziki ni mtu mwingine kabisa, unajua mimi nakaa nae nachati nae sana namgundua kama asingekuwa mwanamuziki angekuwa professor fulani hivi. Kwa sababu ana vitu vingi sana ambavyo akiongea unaona mbona huyo mtu yupo deep, kwa hiyo vitu vingi huwa najifunza kutoka kwake,” amesema Madee.

By Peter Akaro

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment