Msanii kutoka Nigeria Davido ambaye amekuwa akifanya vizuri na ngoma zake kila kukicha kimataifa, ameonekana mitaa ya Atlanta wakishoot video ya wimbo mpya aliofanya na kundi la Migos linaloundwa na wasanii watatu Offset, Quavo na Takeoff.
Hii ni taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido ambaye tangu ametoka hajawahi kuwaangusha tusubiri tuone hii imekaaje.
0 comments:
Post a Comment