Ali Kiba aandika haya kwenye picha hii akiwa na Ne-Yo



Mwimbaji wa Rn'B Ne-Yo ametua nchini Kenya usiku wa kuamkia jana ambapo anatarajiwa kufanya ngoma na wasanii watano kutoka Afrika, Ngoma ya pamoja itakayo washirikisha Ali Kiba, WangechiKenya, Ice Prince, Maurice Kirya naDama do Bling.

Ali Kiba pia alisema kwenye show ya Friday Night Live ndani ya EATV kuwa atafanya ngoma na Ne-Yo, na kupost picha hiyo hapo juu akiandika kuwa juma hili nila mafanikio sana "This week is a great success" Aliandika Ali Kiba.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment