Picha: Rapper Wiz Khalifa anamahusiano na msanii Rita Ora!


Mahusiano mapya. Wiz Khalifa ambaye bado hajawa wazi kwenye mahusiano ambayo anaweza kuwa kwa sasa kwanzia aachane na mke wake Amber Rose, Inawezekana akawa kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na Rita Ora.

Wiz Khalifa na kipenzi hicho Rita walianza kuonekana mara tu kwenye Teen Choice Awards ambazo zilifanyika jumapili iliyopita. Wawili hao walikuwa huru sana haswa wakati wakichukuliwa picha ya pamoja nyuma ya jukwaa.

Kwamujibu wa TMZ, wawili hao walionekana kutoka kama wapenzi na kwendadinner usiku wa jumatatu nabaada ya hapo walitembelea studio ya muziki.

















Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment