Audio: Serekali ya Tanzania imeshindwa kutunza michoro ya kwenye miamba mkoani Dodoma



Michoro ya kwenye miamba iliyo mkoani Dodoma katikati mwa Tanzania, imeelezwa kuwa iwapo haitatunzwa vizuri inaweza kupotea taratibu kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa katika eneo hilo.
Halima Nyanza alitembelea eneo hilo la michoro ya miambani Kondoa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment