Diamond na Zari Wapishana Katika Hili Kuhusiana Binti yao Tiffah




Mara nyingi wazazi hutofautiana katika mambo madogo kuhusu mtoto wao hasa katika upande wa nguo wanazopendelea avae! Diamond na Zari wanakutana na hali hiyo pia.

Kwa mujibu wa Zari, Diamond anapenda kumuona mwanae akivaa nguo za muonekano wa kiume na Zari akiwa na ladha tofauti.



Zari amepost picha ya mwanae huyo na kuandika: My sweet potato….. Her dad loves seeing her looking boyish, mama loves her all dolled up in pink with ribbons. Blame this look on dad… she got a signature lip pause too, my lil diva in the making @princess_tiffah.”

Jumapili wazazi hao wataionesha sura ya Tiffah kwa mara ya kwanza.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment