Hizi ni picha za gari ya kwanza aliyomiliki Wayne Rooney akiwa na miaka 17 tu, hii ni kabla ya Man United !!




Katika maisha kila mtu ana dream yake lakini wote hatutofautiani sana kwani huyu atataka kuwa Doctor, nurse, mwanasheria, askari polisi tunapokuja kufanana ni pale kila mtu anapohitaji kutumia matunda yake aliyochuma kutoka sehemu mbalimbali hususani katika kazi yake.
hi-res-9b3a5f04568f997f91879ed28ca0c436_crop_north

Hakuna askari polisi, Doctor, mwanasheria au nurse asiyekuwa na ndoto ya kumiliki gari, nyumba nzuri na mengine mengi, basi August 17 nakuletea gari ya kwanza ya mshambuliaji na nahodha wa Manchester United ya Uingereza Wayne Rooney kumiliki hii ilikuwa wakati yupo katika klabu ya Everton ambapo makazi yake ni katika jiji la Liverpool.

Motoring_15-jpg.28.620x413
Enzi hizo Rooney alikuwa na umri wa miaka 17 tu, na ilikuwa mwaka 2003.

1024848a2214599d6dddc6639998c9b0de8417a5a5daaecd4b78b0e3a50ce69c_large

wayne-rooney-ford-sportka

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment