Kimbunga chaua Ufilipino



Ufilipino

Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.

Zaidi ya watu kumi na tano wameripotiwa kufariki dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo.

Mmomonyoko wa udongo ulisababishwa na kimbunga ambacho kilifukia migodi mitatu kaskazini mwa kisiwa cha Luzon.Kimbunga Goni kwa sasa kimepungua kasi na kinaelekea Japan katika kisiwa cha Ryukyu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment