Kwa anaye taka kuona sura ya mtoto wa Diamond, Haya ndiyo maneno ya Zari juu ya suala hilo


Wengi wamekuwa wanatamani kuona sura halisi ya mtoto wa msanii Diamond Platnumz aliyezaa na mjasiria mali kutoka Uganda na mwanamuziki pia, Zari Hassan baada ya kuishia kumuona akiwa kwenye baby show nk.

Zari kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Naapa nataka kuwaonyesha uso wake lakini anageuka nakusema nop nakusema sihitaji maigizo. Anajua wote mnaweza kuwa waigizaji/wazushi. Nibora akakaa salama kwa sasa..."
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment