Meek Mill asalim amri kwa Drake! Aifuta diss track yake SoundCloud na kukubali yaishe!

Inavyoonekana beef kati ya Drake na Meek Mill sasa inaweza kuwa imebaki historia.

meek and drake

Taarifa zinasema kuwa Meek ameifuta diss track yake “Wanna Know” kwenye ukurasa wa Soundcloud wa Dreamchasers Records Jumanne usiku August 11.
Pia inadaiwa kuwa Meek aliandika Instagram ujumbe mrefu wa kukubali kumaliza beef hiyo, japo post hiyo ilifutwa lakini DJ Akademiks aliwahi kuscreenshot.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment