Nuh Mziwanda asema hatafuti 'kick', bali akifanya kitu kidogo tu kinakuzwa!



Msanii Nuh Mziwanda ambaye usiku wa 14 August 2015 alitamblisha wimbo wake mpya na video ya Hadithi amesema mambo madogo anayofanya kwenye maisha yake hukuswa na kuwa kiki, ila sio mpango wake.
Nuh anasema ” Naweza kukosema kingereza kidogo ila issue ikachukuliwa na kukuzwa na kuwa kubwa, ila situmi skendo kutangaza muziki” .
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment