Picha na Video: Drake na Selena Williams 'Wanyonyana ulimi' kwenye restaurant!



Huu ni uthibitisho, Drake na Selena Williams wanajambo baada ya kutoka pamoja kwenda restaurant usikuwa Jumapili.
Masaa machache baada ya Serena kupambana na kushinda WTA Tournament huko Cincinnati na Drake akiwepo, Wawili hao walijipanga na kujisogeza Sotto Restaurant  huku wakipata chakula cha Ki-Itali.


Wawili hao walichukua chumba cha binafsi 'Private Room' ambapo wataweza kufanya mikono yao na midomo yao kuwa na ushirikiano kwa kila mmoja kwenye mwili wa mwenzake wakati wadaku wa TMZ wakichungulia.




Watu waliokuwepo kwenye restaurant hiyo waliiambia tovuti ya TMZ kuwa wamekuwa wakikutana hapo kwa muda wa takribani miezi kwa sasa lakini kwa sasa picha zinadhihirisha kuwa wanauhusiano.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment