Sauti Sol watangaza kuachilia ngoma hivi karibuni waliyo ifanya na Ali Kiba




Sauti Sol wanamuziki kutoka nchini Kenya ambao wanavuma kimuziki kutokana na ngoma zao kali ikiwa ni pamoja na Sura yako, Nerea waliyo mshirikisha Amosna Jos , Wametangaza kuachilia ngoma ambayo wameifanya na msanii waTanzania aliye shinda Kili Music Award 2015 tuzo tano Ali Kiba.

Saut Sol wamezungumza hayo kwenye show inayoruka live kila siku ya Ijumaa saa nne kamili usiku hadi saa sita kamili usiku EATV-Friday Night Live, pale walipo hojiwa na mtangazaji wa show hiyo Sam Misago kuwa kwaTanzania wanaweza kufanya collaboration na msanii yupi?

Mbali na kufanya collaboration na msanii Ali Kiba, Saut Sol wamesema pia kwaTanzania wasanii ambao tutarajie kuona wakifanya naye collabo wamesema ni Vanessa, Fid Q, Weusi na pia Feza ambaye alikuwa pia kwenye show yaFNL.







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment