Tanzania na ugonjwa wa Sickle Cell






Tanzania ni nchi ya tano Duniani kwa kuwa na watu wenye ugonjwa wa Sickle Cell.


Utafiti unaonyesha kuwa kila mwaka nchini Tanzania takribani watoto elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa huo. Moja ya sababu ya ongezeko hilo ni uelewa mdogo juu ya ugonjwa huo unaohusiana na seli za damu kuwa katika umbo nusu. Sikiliza ripoti ya Arnold Kayanda kuhusiana na ugonjwa huo.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment