Alikiba, Ice Prince, Mafikizolo, Maurice Kirya leo kutumbuiza Rwanda kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani


Wasanii mbalimbali wa Afrika leo wanaungana na wananchi mjini Kigali, Rwanda kuadhimisha siku ya kimataifa ya amani.



Rwanda ni mwenyeji wa maadhimisho hayo barani Afrika.

Wasanii watakaotumbuiza kwenye maadhimisho hayo yanayofanyika kwenye uwanja wa Amahoro jijini Kigali ni pamoja na Alikiba, Ice Prince, Maurice Kirya, Lillian Mbabazi, Mafikizolo na Wangechi.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni ‘Partnerships for Peace – Dignity for all.’

Mwaka 1994, Rwanda ilijikuta kwenye wakati mgumu kufuatia mauaji ya halaiki yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu milioni moja wengi wao wakiwa watutsi.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment