Angelina Jolie na Brad Pitt kuasili mtoto wa 7 kutoka Syria


Couple ya waigizaji, Angelina Jolie na mumewe Brad Pitt wanatarajia kuongeza member mpya kwenye familia yao yenye watoto 6.



Kwa mujibu wa Radar Online, couple hiyo inasemekana wanatarajia kuasili mtoto wa 7 kutoka Syria.

Chanzo kimoja kimesema kuwa kwasasa wako kwenye taratibu za mwisho za kumuasili mtoto huyo yatima ambaye Jolie alikutana naye alipotembelea vituo vya wakimbizi nchini Syria.

Watoto sita wa couple hiyo ya Hollywood ni Maddox (13), Pax (11), Zahara (10), Shiloh (8) na mapacha Vivienne na Knox wote wana umri wa miaka 6.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment