Bwana Misosi asitisha kufanya muziki

Bwana Misosi 1

Ni muda mrefu umepita msanii huyo hajasikika kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva uliojaa ushindani wa kila aina kwa sasa.
Akizungumza na Team TZ, Bwana Misosi amesema kuwa ukimya huo ni kutokana na maamuzi mapya aliyochukua ya kuweka muziki pembeni na kufanya mambo mengine.
”Ukweli ni kwamba sasahivi nimesimama kidogo na mambo ya Muziki nafanya michakato yangu mingine, nitakapo taka kurejea nitawajulisha” alisema Bwana Misosi.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment