Hatimae Mwigizaji Ray Aibuka na Kusema Haya Kuhusu Tetesi za Kuhongwa Mil 50 Aipigie Kampeni CCM



Kufuatia tetesi kuenea mtandaoni kuwa staa wa Bongo Moveis , Vicent Kigosi ‘Ray ‘ amehama UKAWA “team mabadiliko” na kwenda upande wa CCM., Ray amepanga kuvunja ukimya na kutoa tamko lake rasmi juu ya swala hilo.

Kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa kijamii wa instagram Ray ambaye amekuwa akishambuliwa na baadhi mashakibi wake kwenye mtandao huo wakidai kuwa amenunuliwa , aliandika haya;

“Nimeyasikia mengi sana kwenye mitandao ya kijamii ila nasema hivi nitatoa tamko langu soon”.

Nadhani sasa mashabiki wapunguze munkali wasubiri tamko lake.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment