Kupitia ukurasa wake wa Instagram, H.Baba ameiandika:
Mwanangu Tanzanite nimempa zawadi ya kiwanja maeneo ya Mbezi Beach chenye ukubwa wa 52 kwa 44 zawadi hii ni ya birthday yake yakuzaliwa kwake namshukuru mama Tanzanite kwa kunivumilia kupata mshangao wa kiwanja cha mwanae , hakutegemea kiukweli Mbezi Beach uwanja sio mchezo kwa wanaojua thamani ya ardhi wanaelewa nini namaanisha, siwezi kumpa mwanangu zawadi ya gari kwasababu bado mdogo pia kiwanja kila anavyokuwa na kiwanja kinapanda, thamani ila gari linashuka thamani , namshukuru mwenyezi mungu kwakufanikisha hili kubwa kwa mwanangu Tanzanite haya haya walee wa mbezi beach jirani yenu mpyaa.
0 comments:
Post a Comment