Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye

Jose Mourinho

Baada ya kichapo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Everton ,Mourinho alisema kuwa watu wengi sasa wanafurahia janga lake. “Haya ni matokeo mabaya zaidi katika kazi yangu,” alisema Mourinho. “Sijazoea mambo kama haya lakini sasa nimeanza kuyaelewa katika kazi yangu.Hata hivyo sihisi shinikizo yoyote,”aliongeza.
“Mimi ndiye ninayefaa kwa kazi hii, sidhani kama kuna mtu zaidi yangu anayeweza kuifanya kazi hii.”


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment