Makamanda wa Sudan K. wakutana Ethiopia



Makamanda wa Sudan.K wakutana Ethiopia

Makamanda wa kijeshi kutoka pande mbili zinazopigana nchini Sudan Kusini wanakutana mjini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili njia za kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita.

Mkutano huo utazungumzia masuala yakiwemo kuondolewa vikosi kutoka vitani, kubuni maeneo yasiyo chini ya ulinzi wa kijeshi na kuondolewa kwa wanajeshi wa kigeni kutoka nchini humo.

Makubaliano ya amani yaliyotiwa sahihi mwezi uliopita yakiwa na lengo la kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe hayakutekelezwa huku pande zite zikilaumiwa kwa kukiuka makubaliano hayo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment