Mashariki Max' Show ya TV ambayo wamekuja nayo Jokate na mrembo wa Kenya Sarah Hassan


Jokate Mwegelo ameungana na mrembo wa Kenya, Sarah Hassan kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho Mashariki Max.


Kipindi hicho kitakuwa kikioneshwa kupitia channel ya ST Swahili ya Star Times.
Kipindi hicho kilichozinduliwa wiki hii kitakuwa kikijihusisha na mitindo ya watu maarufu Afrika Mashariki.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment