Mchekeshaji na Muigizaji filamu 'Kevin Hart' apanga tour ya kuja Afrika iitwayo 'What Now?'


Muigizaji wa Marekani, Mchekeshaji na anaye cheza tamthilia ya TV, 'Real Husbands of Hollywood' namzungumzia Kevin Hart amepanga kutua barani Afrika kwa perform ndani yaAfrika Kusini.

Savanna Premium Cider ni kampuni ambayo imeamua kufanya tour ya kwanza ya msanii huyo aweze ku tua Afrika Kusini kwaajili ya show yake ambayo itakuwa ya kwanza mwakani 2016 mwezi wa March pale Cape TownDurban na Johannesburg.

Tour ya 'What Now?' ambayo inafanywa na mchekeshaji huyu ilianza pale Texas mwaka huu mwezi wa April akifanya performance USACanadaUK na Australia hadi sasa.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment