Muziki wa Hip Hop haupo kibiashara – Young Dee


Rapper Young Dee amesema muziki wa Hip Hop haupo kibiashara na kwamba wasanii wanaofanya muziki huo wanafanya kwaajili ya passion tu.



Akizungumza jana na E-Newz ya EATV, Young Dee alisema kama msanii wa Hip Hop anataka kufanya biashara ni muhimu atoe nyimbo mara kwa mara.

“Kwa upande wangu mimi hapa haijakaa kibiashara sana kihivyo,” alisema.

“Watu wengi wanafanya muziki wa Hip Hop kama passion na kupenda. Lakini muziki wa kuimba moja kwa moja na watu wengi wanafanya kibiashara. Lakini hata msanii anayerap anaweza akawa business orientated kwa kuwa anaweza kutoa ngoma mara kwa mara ili usikike. Mbona Weusi wanatoa ngoma mara kwa mara? Inamaanisha ni wewe tu ulivyojiweka na formula yako.”

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment