Navy Kenzo itabaki kuwa ya watu wawili – Nahreel & Aika

Ni ukweli uliowazi kuwa kundi la Navy Kenzo linafanya vizuri sana kwa sasa tofauti na wakati mwingine wowote, kitu ambacho Nahreel na Aika wameona wasikivuruge kwa kuongeza mtu yeyote kwenye kundi.

navy

Kabla Navy Kenzo haijaanzishwa, Nahreel na Aika ambao ni couple walipitia kundi la Pah One na baadae wakajitoa na kuanzisha Navy Kenzo ambayo pia mwanzoni ilikuwa na watu watatu.
Navy Kenzo ambao kwa sasa wapo wawili wamesema kuwa hawana mpango wa kuongeza mtu yeyote kutokana ana matatizo ya kuwa na watu wengi waliyoyaona huko walikopitia.
“Ikitokea mtu akahitaji kujiunga na sisi itakuwa ngumu coz Navy Kenzo itabaki kuwa wawili baada ya kupitia life hilo na kuruhusu watu wengi sana ku-cooperate but hatuku matchsometimes mawazo ya kibiashara, mind set zetu zipo kivingine so tushaliona hilo tatizo na hatuwezi tena kurudia kosa “ Navy Kenzo waliiambia Baabkubwa.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment