Ney wa Mitego aanika jeuri yake


MSANII wa muziki wa hip hop, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema wazazi wake walimfundisha heshima si kumuogopa mtu.

Ney alidai familia yake imemfunza nidhamu ya heshima na kuwa muwazi kwa anachoamini si sawa kwa jamii inayomzunguka.

“Ni kweli mimi nina jeuri ambayo watu wengi inawakera, lakini hawajui kwa nini niko hivyo, jeuri yangu huwa naifanya inapobidi na inatokana na mafunzo niliyofunzwa kutoka kwa wazazi wangu,’’ alisema Ney wa Mitego.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment