Penny Amwaga Machozi Hadharani





Mtangazaji matata wa Bongo Star Search (BSS 2015), Penniel Mungilwa ‘Penny’ wiki iliyopita alijikuta akiangua kilio bila aibu baada ya majaji wa shindano hilo kutaja washiriki waliokuwa wakiaga.

Akizungumza na mtandao huu, Penny alifafanua sababu ya kushindwa kujizuia kuangua kilio ni kutokana na kwamba mara nyingi anakuwa na washiriki hao na ameshawazoea sasa aliposikia wanaaga shindano hilo aliumia sana.

“Unajua wale washiriki ni kama rafiki zangu nimewazoea sana, wanapotajwa na majaji kuwa wanaaga shindano hilo, nilishindwa kujizuia na kujikuta machozi yakinitoka,” alisema Penny.

Mpekuzi blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment