Kupitia Instagram, J’odie alishare picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mume wake mtarajiwa David Nnaji ambaye pia ni boss wake. Nnaji ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album ya kwanza ya J’odie, ‘African Woman’ iliyotoka mwaka 2012.
Picha hiyo ilikuwa na caption, ‘and so I said yes’.
Ingia hapa kusoma historia ya Jodie.
0 comments:
Post a Comment