Kutoka nchini Kenya, Kundi la Sauti Sol wameungana na Ali Kiba kuandaa ngoma ya pamoja ambayo itatoka hivi karibuni. Kwenye facebook page ya Sauti Sol wameandika "Great songs have been written. Even greater ones are coming soon! Team Sauti Sol and Team Alikiba - UNITE!".
Hizi ni picha tu, Ngoma coming soon!
Hizi ni picha tu, Ngoma coming soon!
0 comments:
Post a Comment