Sugu Mgombea Ubunge CHADEMA (UKAWA) Apigwa Mawe Mbeya MJINI, Aahirisha Mkutano





Mheshimiwa Sugu alipigwa mawe na gari lake kuharibiwa wakati akienda kata ya Iziwaa jiji Mbeya; kutokana na vurugu hizo ;
Sugu kahairisha kampeni .




Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment