STL ambaye makazi yake ya muda mrefu ni Norway, ameachia wimbo mpya uitwao ‘Chukua Hatua’ uliotoka pamoja na video yake.
STL amewahi kufanya vizuri na nyimbo kama Lookie Lookie, Haba Haba, Biashara, Stella Stella Stella na zingine
Rapper wa Kenya Stella “STL” Mwangi amechukua hatua ya kuachia wimbo mpya baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
STL ambaye makazi yake ya muda mrefu ni Norway, ameachia wimbo mpya uitwao ‘Chukua Hatua’ uliotoka pamoja na video yake.
STL amewahi kufanya vizuri na single kama Lookie Lookie, Haba Haba, Biashara, Stella Stella Stella na zingine
0 comments:
Post a Comment