Dr. Magufuli Jana Alipiga Kampeni za Kufa Mtu Nachingwea na Mtama Mkoani Lindi


Nachingwea












Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo.

Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Tanzania mpya atakayoiongoza itakuwa ya viwanda hivyo fursa za ajira zitaongezeka.
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha ilani ya CCM mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo

Mgombea ubunge jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akihutubia mbele ya Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo

Ali Kiba na wacheza show wake wakishambulia jukwaa kwenye viwanja vya Sokoni Majengo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.


Wakazi wa Mtama wakiwa na shangwe kwenye mkutano wa kampeni za CCM.

Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mpilipili ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Magufuli anatosha kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkwe wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mama Salma Kikwete akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za uliofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment