Rapper huyo ambaye amekua akionekana na Kylie sehemu nyingi atakuwa analipwa $25,000 kwa kila episode atakayoonekana kwenye kipindi hicho.
Tyga aliungana na girlfriend wake Kylie kwenye vacation ya familia ya Kardashians huko St Barths, ndio sababu ataonekana kwenye reality show hiyo akiwa na members wengine wa familia hiyo,
Msimu wa 11 wa KUWTK umepangwa kuzinduliwa Novemba 11, 2015.
0 comments:
Post a Comment