Lowassa Kuzindua Kampeni ya ‘ TOROKA UJE ’ Leo




Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kushirikiana na UKAWA leo wanatarajia kuzindua kampeni nyingine iliyopewa jina la ‘Toroka Uje’ katika viwanja vya Tanganyika Pekazi Kawe jijini Dar es salaam.

Habari za ndani zinaeleza kuwa kampeni hiyo inatarajiwa kuwa ya aina yake katika dakika za mwisho kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25, 2015.

Uzinduzi huo ulipangwa kufanyika jana lakini ukaahirishwa kuruhusu watanzania wengi kushuhudia tukio hilo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment