Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu


Katika ule utaratibu wa watu kupost picha za zamani kwenye mitandao ya kijamii na hashtag ya ‘Throw Back Thursday (TBT) kila siku za Alhamisi , Nonini alipost picha aliyopiga zamani na Wahu wakiwa kwenye pozi za kimahaba, kitendo kilichotafsiriwa tofauti na mashabiki waliodai amemkosea heshima Nameless.



Wanamuziki Wahu Kagwi na David Mathenge a.k.a Nameless wa Kenya ni wanandoa, na Septemba 10 mwaka huu waliadhimisha miaka 10 ya ndoa yao ambayo imewapa watoto wawili wa kike.


Nameless na mke wake Wahu

Mashabiki wa Nameless na Wahu hawakupenda kitendo cha Nonini kupost picha ya zamani akiwa katika pozi za kimapenzi na mtu ambaye kwa sasa ni mke wa mtu ndio maana walimkosoa kwa kitendo hicho.

Nonini na Wahu (TBT)

Hizi ni baadhi ya comments za Facebook:

Hunk Kenney
U dint have to post that because of marital issues man…she is some one’s wife
Dancan Khadeji Do you think Nameless will be clapping for you if he sees this????
Francis Onyoyo tumia akili ngombe ii, she is married what on earth r u doingNonini? Nkt

Violet Mungai Watu wanacatch mafeelings kwni hawajui tbt n nn???ignorance n disease kwa wakenya

Robert Nuve
Hapo umekosa mgenge…..unataka kuvunja familia nini?

Patrick Karanja kuna mtu atakula moto mbaya, hizi zinafaa kubaki gizani mgenge




Unahisi Nonini alikuwa sahihi kupost picha ya namna hiyo katika kipindi ambacho Wahu ni mke wa mtu?

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment