Young Dee ameelezea furaha yake baada ya kununua gari kwa mara ya kwanza kwa pesa zilizotokana na muziki wake, siku chache baada ya kuachana na kampuni iliyokuwa ikimsimamia.
Young Dee alisema katika maisha yake hakuwahi kununua gari kwa kutumia pesa yake.
“Jinsi unavyopata maumivu makubwa kila mtu mwisho wake anayapokea tofauti, wengine wanajinyonga, wengine wanakata tamaa, wengine waanzisha maisha mapya,” aliiambia XXL ya Clouds FM.
“Jana first time kupitia muziki, jana ndio nimejinunulia gari. Nyandu shahidi na nikamwambia Nyandu hii gari ninaiweka parking tu, nimeipaki.”
0 comments:
Post a Comment