Hii ni kazi nyingine inayomuingiza mkwanja Jay Moe
Usipomsikia Jay Moe kwenye redio usidhani hayuko busy kutafuta mkwanja.
Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Jay Moe alisema anajihusisha na masuala ya ujenzi.
“Fursa ziko nyingi ukiwa mtu fulani mashuhuri kwahiyo unaweza ukapata nafasi nyingi na unaweza ukazichagamkia kupitia celebrity status,” alisema.
“Mimi najihusisha na masuala ya ujenzi, kuinvest kwenye ardhi zaidi, kwahiyo napata pesa kwaajili hiyo.”
0 comments:
Post a Comment