Zimebaki siku 5 hit song ya muimbaji wa Uingereza, Adele itimize mwezi mmoja toka ulipotoka Oct. 23. Wanamuziki kutoka sehemu mbalimbali duniani wamejitokeza kufanya cover za wimbo huo.
Ukiacha kina Joe Thomas, Alaine, Demi Lovato na wengine ambao wamefanya cover ya ‘Hello’, wapo wasanii kutoka Afrika ambao wamefanya cover ya ‘Hello’.
Sikiliza na tazama cover version ya muimbaji wa RnB Praiz ambaye alishinda tuzo ya Afrima ‘Best African R&B/Soul Artiste’ pamoja na Omawumi wote kutoka Nigeria.
0 comments:
Post a Comment