Naj kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii



Akinadada wameamua. Wakati Shaa akiwa na silaha yake kutoka kwa Justin Campos, Naj anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii.



Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV.

Hajasema ni muongozaji gani aliyeongoza video hiyo bado.



Hivi karibuni muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo wake ‘Don’t Let Me Go’ alionekana akiwa studio na Barnaba japo haijulikani kama alikuwa akirekodi wimbo huu mpya.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment